Matoleo na Bonasi za Parimatch

Ingawa Parimatch Tanzania haijafikia kiwango cha kuwa na mpango wa VIP, bado ni mojawapo ya chaguo bora zaidi ya uchezaji dau. Utatumia bonasi utakazopewa katika mashindano ya kubeti. Bora zaidi, hauhitaji kufuata kodi zozote kuipata ila utafuata hatua zifuatazo;

Huhitaji kodi yoyote kupata bonasi ya kukaribishwa ya asilimia mia moja. Punde tu umejisajili, unastahiki kupokea hii bonasi kwa akaunti yako. Baadhi ya matoleo ambayo Parimatch hujivunia ni jackpot, bonasi ya kukaribishwa, na zawadi mbalimbali. 

Matoleo na Bonasi

Kama unapenda kubashiri, Parimatch ina matoleo ya ajabu ili kukusaidia kushinda zawadi chungu nzima. Kila mara una dau zilizofaulu, utazawadiwa bonasi nono nono. La muhimu zaidi ni kwamba hizi dau zinapatikana kwenye KHL na NBA. Ni wazi kuwa hakuna bookmaker kama Parimatch ikifika ni bonasi na matoleo chungu nzima za kukusaidia kushinda. 

Ikiwa unaenzi kasino iliyo na mambo ya kustaajabu, Parimatch itakua chagua lako. Utafurahia kupata alama kila wakati unacheza dau. Hii inamaanisha kua vile unacheza zaidi ndio nguvu zako za kuwa bingwa zinaongezeka. Kwa hivyo, una uhuru wa kupata alama nyingi kadri unavyotaka. Unapopokea alama hizi, unaweza zibadilisha kuwa bonasi za pesa au dau za bure. 

Unaweza cheza dau kupitia mbinu tatu tofauti;

 • Dau moja ya 1.5 au zaidi
 • Dau nyingi za 1.5 au zaidi
 • Dau za moja kwa moja za hadi 2.0

Mukhtasari wa Parimatch

Parimatch Tanzania sio ya wacheza kamari walio na uzoefu pekee. Wachezaji wapya wana nafasi ya kupata utajiri pia kwani kuna manufaa inayokungoja pale. Unapojisajili, unastahiki bonasi ya kukaribishwa ya asilimia mia mbili. Hii inakupea nafasi bora zaidi katika cricket na UFC lines. 

Parimatch ni mojawapo wa kampuni zinazopeana huduma nzuri ya kubashiri kwa wachezaji. Kutoka uanzilishi wake mwaka wa 1994, imeweza kuendelea kuenea ulimwenguni hususan kupitia muundo wa mtandao.  

Bonasi za Parimatch

Hauhitaji jambo lolote ngumu kujiunga na Parimatch. Ukiwa na mwunganisho wa netwaki, rununu yako ama kompyuta, unaweza pata akaunti ya Parimatch. Tovuti pamoja na program ya Android ziko salama, rahisi kutumia na nyepesi kushinda kiwango kikubwa cha pesa. 

Njia za Kujiunga na Kujisajili kwa Parimatch Bonus

Kujisajili na kujiunga na Parimatch bonasi huchukua dakika tano au chache. 

 • Fuata utaratibu huu ili kupata mafanikio ya usajili;
 • Enda kwa tovuti ya Parimatch na ufungue akaunti ya Parimatch
 • Kufungua akaunti, unahitaji nambari yako ya simu, neno la siri, siku yako ya kuzaliwa na majina yako kamili. Hakikisha umepeana ujumbe wa ukweli kwa usalama wako.
 • Jambo linalofuata ni hakikisho la namba yako ya simu kwa kujaza kodi uliyotumiwa

Ni lazima ukubali masharti yaliowekwa kuonyeshana uko tayari kuzingatia maagizo yote

 • Weka angalau shilingi mia moja za Tanzania ili kujiunga na programu ya bonasi. Kuna baadhi ya mbinu unazoweza tumia kulipia, kwa hivyo unastahili kuchagua ile inakufaa zaidi.
 • Parimatch tz inakuruhusu kutumia bonasi yako katika kipindi cha siku saba tangu kujisajili. Kujiunga na bonasi, weka pesa kwa akaunti kwa muda uliopewa halafu uendelee na kutumia bonasi kubashiri.
 • Bonasi ya kukaribishwa huekwa kwa akaunti yako punde tu umeweka pesa yako ya kwanza. Utaipata kwa akaunti kwa kipindi cha saa 72.
 • Sasa unaweza tumia hio bonasi kubashiri michezo ambayo umechagua

Cha muhimu zaidi ni kueka dau za 1.5 na utumie pesa ulioweka kwanza na bonasi. 

Sheria na Masharti ya Kufuata ukiwa Parimatch Tz

Masharti ya Parimatch Tanzania huhitaji kubashiri na dau zisizopungua 1.5. 

 • Hakuna kizuizi kwa hivyo unaweza bashiri kadri ya unavyotaka
 • Bonasi zaidi unayopata ni $25
 • Bonasi inapatikana baada ya kuweka pesa kwa mara ya kwanza katika akaunti yako. Hii huwezekana baada ya kujiunga na Parimatch Tz.
 • Pesa yako huonekana kwenye akaunti yako baada ya saa 72
 • Ndio uweze kutoa pesa kwenye akaunti yako, ni lazima ukue umebashiri mara kumi na zaidi, ukitumia dau za 1.5 kwa kila kamari. Pesa ya kutolewa huunganishwa na asilimia mia moja ya bonasi ya kukaribishwa.
 • Kutoa pesa kuna kipimo mpaka utimize masharti yote ya bonasi
 • Kuhitimu kutoa pea, ni lazima uunganishe pesa yako ya kwanza na bonasi mara kumi. Kila dau lazima ikue 1.5

Amana na Uondoaji wa Pesa katika Parimatch

Parimatch imeweka mikakati maalum ya kuweka pesa yako salama katiko kasino yao. Kupitia kwa mtandao wao wa malipo, unaweza toa ama kuweka pesa bila wasiwasi. Mbinu ambazo unaweza tumia ni HaloPesa, M-PESA , Airtel Money, au Tigo Pesa.

Kuweka pesa huwa upesi na utapata pesa yako kwa mara hiyo. Hakuna kulipa chochote wakati ingawa kutoa pesa hulipishwa kuligana na mbinu unayotumia. Hakikisha umetembelea tovuti ndio ujue pesa ile kidogo au zaidi unaweza toa kwenye akaunti yako. 

Wakati wowote unapitia changamoto ukiwa Parimatch Tz, fikia wahudumu wao kwani wako tayari kukupa msaada. Usisumbuke na shida yoyote ile kwani maajenti hawa wana ujuzi mkubwa wa kiteknolojia. Kwa hivyo, watakusaidia kushinda izo zawadi unatamani wakati unabashiri.

Hitimisho

Kama unatafuta kasino ambayo itakuburudisha na kuongenezea nafasi zako za kupata utajiri, Parimatch Tz iko hapa. Hutapata bookmaker spesheli kama hii kwani ina miundo bora ikiwepo teknolojia ya kisasa. Wakati unaburudika ukibeti katika michezo tofauti, una watoa huduma walio na werevu wa kutatua shida yoyote ile. 

Pia, Parimatch Tz hupatikana kwa simu ya mkononi pamoja na vipengele vingine vya kuhamasisha uchezaji wako. Hakikisha hujaachwa nyuma katika kubahatika na kuzawadiwa matoleo ya Parimatch Tanzania.