Kubashiri Moja Kwa Moja Kupitia Parimatch

Kuekeza kwenye spoti hususan ubashiri wa moja kwa moja kumekua maarufu kati ya wacheza dau mtandaoni. Tofauti na kubashiri kwa kawaida ambako unahitaji kuekeza kabla ya mchezo kuanza, kubashiri moja kwa moja hukupa uhuru wa kubashiri mechi inapoendelea. Parimatch inawasilisha uzoefu wa kusisimua wakati unapocheza kamari kwenye tovuti. 

Parimatch Ubeti wa Moja kwa Moja

Ubashiri wa Parimatch moja kwa moja ni wa kipekee kwani unaweza bashiri kwa mchezo unaoutazama ukitangazwa. Kwa hivyo, ukitabiri kuwa timu fulani itafunga mbao kwa dakika kumi zinazofuata, huna budi kuweka dau. Unahitaji kuelekea kwa tovuti ya Parimatch upande wa kubashiri moja kwa moja ufanye vile. Ukiwa pale, hakikisha umechagua michezo ya kuekeza kwa ufasaha kamili.

Jinsi ya kuwekeza katika Parimatch moja kwa moja

Ili uweze kufikia kubashiri moja kwa moja katika Parimatch, elekea katika tovuti yake na ubonyeze ikoni yake. Punde umefika pale, utaweza kutazama michezo yote inayoendelea katika nyanja mbalimbali. Kuweza kuekeza kwa mechi zinazoendelea ni motisha tosha.

Pia una uwezo wa kubashiri kupitia rununu yako au tarakilishi ya dawati. Kwa hivyo, hutapoteza wakati wowote ukishangaa ni mbinu gani bora kwani ukiwa na mojawapo ya hizi uko sawa. Ili kuburudika unapotumia rununu yako kubashiri, ni sharti uweke programu ya Parimatch moja kwa moja. Utapata kipengele hiki kwenye ukurasa rasmi wa Parimatch kwa burudani kamili kwenye rununu yako. 

Vipengele vya kuekeza kwenye Parimatch Hai

Kwa nini nambari kubwa ya wapenzi wa kubashiri wanageukia ubashiri wa moja kwa moja? Kuwepo kwa vipengele chungu nzima ni mojawapo wa sababu zile. Je, ungependa kujua baadhi ya vipengele vinavyopatikana kwenye Parimatch zitakazofanya ubashiri wako kusisimua? Haya ni baadhi ya manufaa hayo;

 • Ni bookmaker iliyo na nafasi nzuri zaidi ya ushindani kwa mechi zinazoendelea.
 • Parimatch inajivunia pambizo ya wastani kumaanisha ni rahisi kushinda zawadi kemkem unapoekeza
 • Iwapo unatumia tarakilishi ya dawati, uko na nafasi bora ya kuchanganya kutazama michezo na kubashiri moja kwa moja mechi inapoendelea.
 • Kubashiri kwa mechi za moja kwa moja huwa upesi hata kabla ya kupata matokeo
 • Parimatch inakupa nafasi ya mbele kuhukumu matokeo unayotegemea ukilinganisha na kubashiri kabla ya mechi.

Ni Michezo Ipi Unaweza Kubashiri Moja kwa Moja?

Ijapokua kubashiri moja kwa moja ni maarufu baadhi ya wachezaji, sio nyanja zote za spoti zinazounga mkono. Kwa mfano, mchezo unaweza kuwa ukiendelea lakini ushindwe kuweka dau kwani mchezo ule umefungwa. Ingawaje, Parimatch ni jukwaa inayokuruhusu kubashiri kwa muda halisi kwenye baadhi ya michezo kama vile;

 • Mchezo wa miguu
 • Mchezo wa kikapu
 • Tenisi
 • Mpira wa magongo
 • Cybersports

Kama unapenda kubashiri kwa EPL, hakikisha umechagua ikoni ya soka ikifuatwa na kipengele cha moja kwa moja. Utapata kwamba mechi zote zinazoendelea zimepangwa zikingojea utabiri matokeo yake. Ni rahisi sana kubashiri kulingana na chaguo lako kwani hutakua na wakati mgumu kufanya hivi. 

Kwa kila michezo iliyotajwa hapo juu, tumia utaratibu huu.

Kujisajili na kuchezea Parimatch

Jinsi ya kujiandikisha kwenye Parimatch

Kuamua kubashiri kwenye Parimatch humaanisha ni lazima ukue na akaunti na bookmaker hii. 

Hizi ni hatua za kujisajili na Parimatch

 • Mwanzo kabisa, elekea kwenye ukurasa rasmi wa Parimatch kisha ubonyeze kitufe cha kujisajili. Ikiwa tayari uko na akaunti, tumia maelezo yako ya kibinafsi kuingia kwenye akaunti.
 • Jambo linalofuata ni kuweka neno lako la siri na majina yako kamili.
 • Ukifanikiwa kuingia kwa akaunti yako, weka kiasi cha pesa cha kwanza halafu uwache kikae hapo hadi upate mechi bora utakayobashiria.

Wakati umebonyeza mchezo unaotaka kuekezea, hakikisha umebadilisha kiwango cha pesa ili kuhitimisha kubashiri kwako.

Malipo na Benki katika Parimatch

Kabla ya kujihusisha na kubashiri katika mtandao, ni lazima uzingatie njia za benki zilizowekwa. Mwanzo kabisa, utastahili kuweka kiasi cha kwanza cha pesa kwa akaunti yako ili kupata uhakika wa muda utakaochukua kuipata kwenye akaunti yako ya uchezaji. 

Kwa mfano, hutatumia njia ya benki kuweka pesa unayotaka kutumia kubashiria mchezo kwa muda wa saa mbili. Badala yake, utachagua mbinu iliyo haraka kabisa kama kupitia rununu yako. M-Pesa na Tigo Pesa ni baadhi ya njia zilizo upesi kabisa kuweka pesa akauntini. Kwa hivyo, wakati wako hautapotea ukingojea pesa yako ipatikane.

Vile vile, Parimatch ina njia zingine za malipo kama vile Skrill, PayPal, Visa, na sarafu za dijitali za bitcoin.

Msaada wa wateja wa Parimatch

Kutumia Parimatch hakutakua rahisi kila mara. Wakati mwingine, utakumbana na vikwazo. Hapa ndipo msaada wa wateja wa Parimatch unapoonekana. Kipengele cha maswali yanayoulizwa sana kiko hapo kukupea msaada wa haraka. Kwa hivyo, dhibitisha ujumbe wowote uliokupea shaka hapo awali. Tatizo lako lisiposuluhishwa, fikia msaada wa tovuti rasmi kwa vituo vifuatavyo;

Faida na hasara za Parimatch kubashiri kwa moja kwa moja

Kila uchao, Parimatch husajili wachezaji wapya kwa mtandao wao. Hata kama ina vipengele maalum vinavyounga mkono kubashiri kwa michezo kadhaa, iko na hasara zake pia. 

Zifuatazo ni baadhi ya hasara na faida hizo;

Faida za kubashiri moja kwa moja kwa Parimatch

 • Kubashiri moja kwa moja kwenye Parimatch ni tukio la kipekee kwani huwa la kufurahisha kwa kiasi kikubwa
 • Katika sehemu ya kuekeza moja kwa moja, utapata toleo pana zaidi la michezo ya kubashiria.
 • Kupitia matoleo ya ujumbe au video unapotabiri, uwezekano wa kushinda uko juu. Kipengele cha utangazaji kiko hapo kuhakikisha una nafasi ya kuenda na chaguo linalokupendeza. 
 • Kinyume cha bookmakers zingine, Parimatch inakuhitaji kuweka shilingi chache tu ili kubashiria mchezo wowote.
 • Mwishowe, ili usivurugwe na wingi wa michezo, kuna chaguzi la kutafuta na kuchunga ubashiri wako. Kwa hivyo, utaweka bidii kwa michezo ambayo una ujuzi zaidi.

Hasara za Kubashiri moja kwa moja kwenye Parimatch

Kubashiri moja kwa moja kupitia Parimatch hakuna vikwazo nyingi vile. Lakini, hauna wakati mwingi wa kutafakari kama utaweka dau au la. Jinsi mechi inaweza chukua upande wowote ule, ni lazima ufanye maamuzi yako upesi. Pia, kubashiri moja kwa moja hukosa mgawo wa juu zaidi ukilinganisha na aina ya kuekeza kabla ya mechi.