Mbinu za Parimatch za kuweka pesa kwa wachezaji wa Tanzania

Ikiwa wewe ni mwekaji dau, lazima ukue na maarifa kuhusu umuhimu wa tovuti ya Parimatch. Pale, una nafasi nzuri ya malipo ya asilimia 95 hadi 96 na migao ya kuvutia kwa nyanja zote za spoti. Ili kushiriki kwenye chagua la kabla ya mechi au kubashiri moja kwa moja unahitajika kuweka pesa kwa akaunti. Pia, unaweza weka pesa kupitia sarafu tofauti kama vile TZS, USD, AZN, RUB, na EUR. Hata hivyo, utumizi wa hizi sarafu utategemea njia ambayo umechagua kutekeleza malipo yako.

Benki

Kuekeza kwa michezo mbalimbali hukuruhusu kubashiria michezo mbalimbali. Ukurasa rasmi wa Parimatch unaonyesha kuwa ukiwa na pesa katika akaunti hakuna kizuizi chochote cha kushinda. Uhuru wa kuchagua kati ya mchezo wa mguu, mchezo wa kikapu, tenisi, soka na zinginezo ni wazi kuwa Parimatch ni bookmaker ya kipekee.  

Juu ya hayo, ni sharti uwe na baki kwenye akaunti yako ili kujivinjari kubashiria michezo ya moja kwa moja. Zingatia mbinu tofauti za kuweka amana zinazofuata kisha uchague iliyo bora zaidi.

Wapendaji kubashiri watapata kwamba Parimatch Tanzania inawapa toleo pana la mbinu za kuweka pesa kwenye akaunti zao. 

Zifuatazo ni baadhi ya mbinu hizo;

 • Huduma ya pesa kwenye rununu maarufu kama M-Pesa
 • Tigo Pesa
 • Visa
 • Skrill 
 • PayPal
 • Sarafu ya dijitali ya bitcoin

Kila mojawapo ya mbinu zilizotajwa, ni salama na zitawasilisha pesa yako kwa akaunti yako. Vile vile, utapokea bonasi ya usajili punde tu umeweka amana kwa mara ya kwanza. Njia hizi ni bora kwa kuleta manufaa anuwai ikiwepo kuchunga jumbe zako zote. 

Parimatch imetekeleza miundo maalum ili kuhakikisha uko salama wakati unashiriki katika uwekaji wa amana. Kama kuna bookmaker itakayokupa amani ni Parimatch. Sababu kubwa ya jambo hili ni kwamba neno lako la siri na maelezo yako yote hayatapewa mtu yeyote yule.

Jinsi ya kuweka pesa kwenye akaunti yako ya Parimatch

Mbinu za kuweka pesa pale Parimatch sio ngumu kutumia. Utahitajika kufuata utaratibu fulani kwa kila njia. Tazama baadhi ya mbinu zile hapa chini.

M-Pesa

Ili uanze kuweka pesa kwenye Parimatch, utajisajili na uwe mtumizi halisi wa M-Pesa. Hii ni huduma ya kutuma na kutoa pesa kupitia rununu yako. M-Pesa inamilikiwa na kampuni ya Vodacom.

Zifuatazo ni taratibu za kufanikisha uwekaji wa pesa yako;

 • Kwenye rununu yako piga *111# kupata chaguo la kuchunga akaunti yako
 • Chagua 4 kisha 1 ili uweze kupata uwanja utakaokuhitaji kuweka maelezo yako ya kibinafsi. Fuata utaratibu maalum kwani lazima maelezo haya yawe ya kweli na katika muundo unaostahili. Kwa mfano, tarehe yako ya kuzaliwa lazima iwe katika muundo wa siku, mwezi, na mwaka wako wa kuzaliwa. Hii ni lazima kufuata ili uweze kuendelea.
 • Chagua lugha ambayo uko sawa kutumia
 • Punde tu umedhibitisha usajili wako, tuma ujumbe uliotumwa kwenye simu yako ili kukamilisha kujisajili. Pia, usikose kuongeza neno la siri kwenye akaunti yako. Kufanya vile kutasaidia kuweka akaunti yako salama hivi kwamba ni wewe tu unaweza itumia.
 • Ili ufanikiwe kuweka pesa yako bila vikwazo vyovyote, ni lazima ufuate njia zote zilizotajwa. Aidha, kila jaribio litagonga mwamba. 
 • Iwapo ni mara yako ya kwanza kutumia M-Pesa ama hauna maarifa yoyote ya intaneti, utakuwa na wakati mgumu. Angalia hatua inayofuata.
 • Kwa hivyo, tangulia kwa kupiga *150*00#. Tendo hili litakupeleka kwenye mahali ambapo unaweza anza uwekaji pesa kutumia rununu yako. 
 • Chagua sehemu ya lipa bili
 • Bonyeza 4 kuweka malipo ya nje
 • Weka nambari 3 ili uelekee kwa uwanja wa kuandika nambari ya biashara ya kuekeza ya Parimatch. Nambari hiyo ni 351144.
 • Hatua hiyo nyingine itakuitisha kodi ya simu iliyotumwa ulipojisajili na huduma ya M-Pesa. Hapa utaweka nambari uliyotumiwa kufungua akaunti yako ya Vodacom.
 • Kufuatilia utaratibu huo kwa njia mwafaka huruhusu kampuni ya Vodacom kuunganisha akaunti yako ya M-Pesa kwa akaunti ambayo unatumia pesa. Kwa hivyo, ni muhimu ufuate utaratibu huu vizuri hadi mwisho.
 • Endelea kwa kuweka kiwango cha pesa unachotaka kwa akaunti yako. Kumbuka, kiasi chochote kile kitakupea mapato ya bonasi ya usajili pamoja na zawadi zingine. Ni muhimu kuhakikisha umeweka zaidi ya shilingi za Tanzania 10,000 ili kuhitimu kupokea matoleo maalum. 

Tigo Pesa

Ili kuweka pesa kwa akaunti yako ya Parimatch, zingatia hatua hizi;

 • Kwa rununu yako, piga *150*01#
 • Chagua 4 ambayo ni lipa bili
 • Kisha chagua 3 na uweke nambari ya biashara ya Parimatch ambayo ni 351144
 • Weka nambari yako ya simu
 • Ogeza kiasi na kiwango ambacho ungependa kutuma kwa akaunti yako
 • Weka neno lako la siri na udhibitishe uwekaji wa pesa kwa kubonyeza 1

E-wallet

Baadhi ya mbinu za kuweka pesa Parimatch mtandaoni ni PayPal, Skrill, ama Visa. 

 • Fuata utaratibu huu ili kuweka pesa kwenye akaunti yako ukiwa mtandaoni;
 • Jisajili au uingie kwa akaunti yako ikiwa wewe ni mmemba tayari
 • Tafuta kiunganisho cha uwekaji pesa kisha ukifungue
 • Utakapofika pale, utaulizwa ujaze njia ya malipo inayokufaa zaidi. Unaweza chagua mbinu tatu za uwekaji wa pesa mtandaoni. Ni rahisi kufanya hivi kwani mbinu hizi zinapatikana kwa wachezaji wote wa Tanzania.

Kwa mfano, ukichagua PayPal, kuna utaratibu unaohitaji kufuata ili uweze kuendelea.

Baadhi ya maelezo unayofaa kujaza huwa lazima uzingatie sheria na kanuni zinazostahili. Maelezo haya ni kama vile kuongeza anwani yako ya PayPal na kiasi unachotaka kutuma kutoka PayPal yako mpaka Parimatch. Hatimaye, hakikisha umedhibitisha kama kila kitu kiko shwari. Kwa kawaida, kupokea pesa kwenye akaunti yako ya kubashiri ya Parimatch, kutachukua chini ya dakika 15. 

Iwapo utafuata maagizo na utaratibu ifaavyo, ni lazima upokee baki lako kwa akaunti punde tu umemaliza hatua zote.

Sarafu za dijitali za bitcoin

Njia nyingine ya uwekaji pesa unayofaa kuzingatia ni sarafu za dijitali za bitcoin. Ingawa mbinu hii hutumiwa tu na asilimia 25 ya wachezaji, ni vyema uijaribu leo. Ili kuanza kuzitumia, ni lazima ufuate hatua zifuatazo;

 • Elekea kwa akaunti yako ya kubashiri ya Parimatch
 • Bonyeza kiungansiho cha kuweka pesa na kikifunguka chagua sarafu za dijitali za bitcoin
 • Skrini ingine itatokea ambayo ina kitambulisho cha muamala cha kipekee. Utapata kipengele hiki kila wakati unapotaka kuweka pesa kwa akaunti.
 • Ongeza kiasi unachotaka kuweka pale ili kibadilishwe kuwa bitcoin
 • Pia utaona anwani ya bitcoin na kodi spesheli 
 • Bonyeza hiyo kodi spesheli au uandike anwani ile ya bitcoin kwa akaunti yako ya bitcoin
 • Weka kiwango cha pesa unachotaka kuweka kwa akaunti. Kumbuka, ni lazima kiwango hiki kiwe sawa na kile uliweka kwenye akaunti yako ya Parimatch.
 • Iwapo ungetaka pesa yako ifike kwa akaunti kwa mwendo wa kasi, kuwa tayari kulipa ada ya juu kuliko ilivyo kawaida.

Parimatch imebuniwa vizuri hivi kwamba itabadilisha sarafu zako za dijitali za bitcoins kuwa USD mara hiyo. Kwa hivyo, zile dau utakazoweka zitakua USD lakini pia unaweza kutoa pesa ile ikiwa kama bitcoin.

Ukishamaliza hatua zote, utadhibitishiwa kwamba Parimatch imepokea pesa yako. 

Hitimisho

Utumizi wa sarafu za bitcoin huchukua muda wa dakika 4 hadi 6 lakini kuna wakati ambao itabidi ungoje hadi dakika 40. Iwapo unapata kuna kuchelewa kwa pesa kupatikana kwa akaunti, jaribu kuanzisha ukurasa upya. Ukishafanya vile, uko na uhuru wa kuekeza kwa Parimatch kubashiri moja kwa moja ama chaguo la kabla ya mechi.